Je wewe ni team kuchemsha vyombo vya watoto ili kuuwa wadudu? Basi dunia imehama huko tupo kidigital zaidi.
fika au wasiliana na @gina_kidspoint ujipatie sterilizer ya vyombo vya mwanao/ wanao .
Ukiwa nayo hii itakuhakikishia usalama wa vyombo vya mtoto kwa kuuwa wadudu na baadae kukausha na kuviacha vikavu kabisa kwa 155,000 tu . Zipo chache dukani , wahi sasa